Mahakama yatupilia mbali kesi ya mke wa Mdude

Mbeya. Mahakama Kuu ya Tanzania  Kanda ya Mbeya imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na mke wa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanaharakati, Said Nyagali, maarufu Mdude,  Sije Mbughi  dhidi ya wajibu maombi sita, akiwapo Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP). Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Jumatano Julai 9, 2025 na…

Read More

Muundo wa mkutano wa nishati Dar

Dar es Salaam. Leo Januari 27, umeanza mkutano wa kimataifa wa siku mbili kuhusu nishati Afrika unaowakutanisha viongozi mbalimbali wa bara hili, unaendelea hivi sasa katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unashirikisha viongozi wengi wa Bara la Afrika unajadili mambo mbalimbali kuhusu nishati huku ukiwa na mjadala…

Read More

BARAZA LA SALIM: Jeshi la Polisi Zenji lichunguze vifo tata

Wakati taarifa za kuhimiza amani, utulivu na upendo zikisikika Zanzibar katika nyumba za ibada na kwingineko matukio ya vifo, baadhi vya watu waliokuwa mikononi mwa vyombo vya dola zimeshitua watu na kuuliza visiwa hivi naelekea wapi? Jamaa wa marehemu wawili walioiaga dunia karibuni katika Kijiji cha Kiiungoni, Kusini Pemba, walikataa kupokea maiti hadi sababu ya…

Read More

Afrika na mkakati wa kujiondoa gizani

Dar es Salaam. Licha ya juhudi zinazofanywa na mataifa mbalimbali Afrika kuhakikisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi wake, zaidi ya nusu ya Waafrika bado hawajafikiwa na huduma hiyo. Kwa mujibu wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), katika watu wanaokadiriwa kufikia bilioni moja wanaoishi Afrika, takriban milioni 685 hawajafikiwa na huduma ya umeme. Hali hiyo ya…

Read More

Bodi ya Ithibati: Hakuna Nafasi kwa Vyeti Bandia au Visivyohusiana na Uandishi

*Waandishi wa Habari Watakiwa Kuwasilisha Vyeti Sahihi Pekee kwa Ithibati *Wito kwa Wapiga Picha na Waandaaji Vipindi Kujisajili kwa Ithibati MAAFISA wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Bi. Rehema Mpagama, Wakili wa Serikali Mwandamizi na Bw. Mawazo Kibamba, Afisa Habari Mwandamizi anayeshughulikia Ithibati wakifafanua masuala mbalimbali ya Mfumo wa Usajili wa Waandishi wa…

Read More