
ACT Wazalendo yaanza sera kuenzi viongozi wastaafu, wakimuaga Babu Duni
Unguja. Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji (Babu Duni) akiagwa leo, chama hicho kinaanza utekelezaji wa sera ya ya kuwaenzi viongozi wake wastaafu. Babu Duni ameachia ngazi mapema mwaka huu na nafasi yake kuchukuliwa na Othman Masoud ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Sera hiyo inaeleza…