
Uchunguzi wabaini mapya ajali ya ndege iliyoua 179 Korea Kusini
Seoul. Uchunguzi umebaini kuwa vifaa vya kurekodi taarifa ya mwenendo wa ndege ya Shirika la Jeju nchini Korea Kusini, viliacha kufanya kazi dakika nne kabla ya ndege hiyo kupata ajali na kulipuka. Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800, ikitokea Bangkok Thailand kwenda Muan nchini Korea Kusini ilikuwa imebeba abiria 181 wakiwemo abiria 175 na wahudumu…