Ilani mpya CCM kuzalisha ajira milioni nane kwa vijana
Dar es Salaam. Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya 2025/30 imeanisha hatua 11 za kuzalishaji ajira zenye tija zisizopungua milioni nane katika kipindi cha miaka mitano kupitia Serikali watakayoiunda endapo kitashinda kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba. Katika ilani ya uchaguzi ya chama hicho tawala ya mwaka 2020/25 waliahidi kutengeneza ajira zisizopungua milioni saba za sekta…