
Je Kenya itaweza kukomesha kitisho cha UKIMWI ifikapo 2030? – DW – 02.12.2024
Taifa la Kenya linaorodheshwa katika nafasi ya 7 duniani na la 6 barani Afrika nyuma ya Afrika Kusini, Mozambique, Tanzania, Nigeria na Zambia katika viwango vya juu vya maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI takwimu zaidi zikionyesha kuwa, watu watatu kati ya wakenya 100 wana Virusi Vya UKIMWI. Kulingana na takwimu kutoka Baraza la Kitaifa la…