
Kipigo cha Simba chaiamsha Kagera
KOCHA wa Kagera Sugar, Melis Medo, amesema kipigo cha mabao 5-2 walichokipata kutoka kwa Simba, wikiendi iliyopita, ni funzo kubwa kwa timu yake. Katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba timu hiyo ya Kagera ilikubali kichapo hicho cha aibu kilichowafanya waonekane dhaifu mbele ya mabingwa hao wa zamani. Medo,…