
WAZIRI SILAA AIELEKEZA TCRA KUPIGA KAMBI RADDY ELECTRONICS
Mkuranga, Juni 18, 2025 – Mwamvua Mwinyi Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia na Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb), ameielekeza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupiga kambi katika kiwanda cha kutengeneza simu janja cha Raddy Electronics kilichopo Mkuranga, mkoani Pwani, kwa lengo la kufuatilia kwa ukaribu ubora na viwango vya uzalishaji kulingana na ushindani wa soko, ili…