
Fahamu mazoezi yanayoboresha tendo la ndoa
Dk Anold Kegel ni mwanasayansi wa tiba bingwa wa magonjwa ya wanawake wa Marekani na mgunduzi wa mazoezi yajulikanayo Kegel, yenye kuboresha tendo la ndoa kwa wanawake. Uzoefu mkubwa wa kukabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya kwa wanawake kulimwezesha kubaini udhaifu wa misuli ya kitako cha kiuno, kwa wanawake waliotoka kujifungua. Wazo lake hilo ndilo…