
STARTIMES YAZINDUA MAKALA MAALUM YA UTAMADUNI KATI YA CHINA NA AFRIKA
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Startimes imezindua makala maalum inayoonesha mabadilishano ya utamaduni kati ya China na Afrika ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uelewa na kukuza uhusiano. Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo kwa vyombo vya habari leo, imesema makala hiyo ni mfululizo mpya wa filamu za hati zenye jina “Mtazamo wa China katika…