ONGEA NA AUNT BETTIE: Mdogo wangu anamsalandia mke wangu

Habari Aunt, naomba ushauri, mdogo wangu anaonekana wazi kumtaka shemeji yake (mke wangu). Nimesema hivyo kwa sababu naona utani usiokuwa na mipaka umezidi. Nashindwa kumkanya kwa sababu ni mdogo kwangu kiumri. Nifanyeje? …..Unanishangaza, unashindwa kumkanya mdogo wako utamkanya nani tena! Kwanza kabisa unapo pa kuanzia, anza kumkanya mkeo asikubali utani uliopitiliza na shemeji yake, kwa…

Read More

Mwelekeo mpya matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Dar es Salaam. Wakati mwamko wa matumizi ya vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme ikiwemo pikipiki na magari ukiongezeka nchini, wadau kwa kushirikiana na Serikali wamekutana kujadili mfumo utakaotoa mwongozo wa uingizaji na utumiaji wa vyombo hivyo. Uwepo wa mafundi wabobezi, uingizaji wa vyombo hivyo, gharama, taratibu za usajili, utambuzi na uelewa ni miongoni mwa yaliyojadiliwa…

Read More

Waandamanaji wachoma balozi za mataifa Kinshasa

Kinshasa. Baadhi ya wananchi wameandamana jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuchoma moto balozi za mataifa ya Ufaransa, Ubelgiji na Rwanda. Balozi nyingine zilizolengwa na waandamanaji hao leo Jumanne Januari 28, 2025, ni ya Uganda na Kenya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot ameandika kwenye akaunti yake ya…

Read More