
Mwanamume wa Uingereza aliyetuhumiwa kuipeleleza China akutwa amefariki katika bustani
Mwanamume anayeshutumiwa kusaidia mamlaka ya Hong Kong kukusanya taarifa za kijasusi nchini Uingereza amefariki katika hali isiyoeleweka, polisi wa Uingereza waliripoti Jumanne (Mei 21.) Matthew Trickett mwenye umri wa miaka 37 alikuwa miongoni mwa wanaume watatu walioshtakiwa mapema mwezi huu kwa kukubali kushiriki katika kukusanya taarifa, ufuatiliaji na vitendo vya udanganyifu ambavyo vina uwezekano wa…