Rekodi tatu mwamuzi Dabi ya Kariakoo

MCHEZO wa Dabi ya Kariakoo umeingia kwenye historia mpya baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuwashusha waamuzi kutoka Misri na Somalia, huku rekodi za mwamuzi wa kati zikiwa tishio. Taarifa iliyotolewa na TPLB jana ni, mchezo huo utaamuliwa na Amin Omar atakayekuwa mwamuzi wa kati, akisaidiwa na Mahmoud El Regal, Samir Mohamed, huku…

Read More

Kondakta auawa kwa kupigwa na kitu kizito usoni

Njombe. Mkazi wa Mji wa Njombe, Yokebeti Sindila (29), ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kwenye paji la uso, eneo la Mnarani, Mtaa wa Mji Mwema, Halmashauri ya Mji wa Njombe mkoani Njombe. Hayo yamesemwa leo Jumapili Juni 22, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati akizungumza na waandishi wa habari….

Read More

RAIS WA AfCHPR ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA THBUB

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Mhe. Imani Daud Aboud leo Novemba 04, 2024 ametembelea Makao makuu ya ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) yaliyopo Mkoani Dodoma kwa lengo la kufanya mazungumzo na Uongozi wa tume hiyo na kuifahamisha majukumu…

Read More

Sauli kuzikwa kesho kijijini kwao Chunya

Mbeya. Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabila unatarajiwa kuzikwa kesho Jumatano Agosti 7,  2024 katika Kijiji cha Godima wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Mwalabila  maarufu kwa jina la Sauli aliyefariki dunia Agosti 4,  2024 kwa ajali ya gari mkoani Pwani, mwili wake unatarajia kusafirishwa leo Jumanne Agosti 6, 2024 kwenda…

Read More

Wagombea waanza kulia uchaguzi TFF

SAA 24 kabla ya kufungwa kwa zoezi la kuchukua na kurudia fomu za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baadhi ya wagombea waliojitosa katika kinyang’anyiro hicho wameanza kulia kwa kutoridhishwa taratibu zilizowekwa za uidhinishaji kupitia wajumbe ili kuruhusu urudishaji fomu. Kilio hicho kimetolewa na mgombea wa urais, Injinia Mustapha Himba akisema mara baada…

Read More