Mrithi wa Askofu Sendoro kujulikana leo

Mwanga. Mkutano Mkuu maalumu wa kumpata Mkuu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) umeanza, huku macho na masikio ya waumini yakisubiri kuona na kusikia ni nani atakayemrithi Askofu Dk Chediel Sendoro, aliyekuwa mkuu wa dayosisi hiyo. Mkutano huo, unaofanyika katika Kanisa Kuu Mwanga, unatarajiwa kuwa na wajumbe 135 na…

Read More

Dar City, KIUT kazi ipo BDL

ULE uhondo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) unatarajiwa kurejea upya kesho Ijumaa na  Uwanja wa Donbosco Upanga kutakuwa na vita nzito kati ya Dar City dhidi ya KIUT. Mchezo huo unasuburiwa kwa hamu na mashabiki wengi kuona kama KIUT yenye historia ya kufunga vigogo wa ligi, baada ya kuzifunga JKT…

Read More

Sagini aitaka OCPD kuelimisha jamii mchakato wa utungwaji wa sheria za nchi.

   Na: Calvin Gwabara – Dar es salaam. Watanzania wametakiwa kutambua kuwa miswada ya sheria haitoki serikalini pekee bali hata wananchi wanaweza anzisha mchakato na kupendekeza mswada wa sheria wanayoitaka kutungwa kupitia wawakilishi wao bungeni. Mwandishi wa Sheria kutoka OCPD Bwana Vincent Masalu (Wa kwanza kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na…

Read More

Hatari iliyopo Kariakoo ubomoaji, ujenzi wa majengo

Dar es Salaam. Ubomoaji holela usiofuata sheria ni hatari nyingine ya kiusalama na kiafya inayowakabili wananchi wanaofanya shughuli zao au kwenda katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini. Katikati ya maandalizi ya habari hii ya uchunguzi wa takribani miezi mitatu ikiangazia ubomoaji wa majengo kwenye eneo hilo ambalo ni kitovu cha…

Read More

Siku 30 za ACT Wazalendo kujenga msingi wa ushindi

Shinyanga/Mbeya. Katika siku saba tangu kuanza kwa Julai 2025, Chama cha ACT Wazalendo kimekuwa kwenye harakati za kisiasa katika maeneo mbalimbali nchini, kupitia kampeni iliyopewa jina la Operesheni ‘Majimaji linda kura’. Kampeni hiyo, inayofanyika kwa siku 30 mfululizo, viongozi waandamizi wa chama hicho wapo ziarani mikoani, wakihamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa…

Read More

Exim Bank yachangia vitanda kwa Kituo cha Afya TangaTanga

Exim Bank Tanzania imetoa jumla ya vitanda na magodoro 21 vya wagonjwa kwa kituo cha afya cha Mwakidila kilichopo jijini Tanga, mchango ambao umetatua kikamilifu tatizo la upungufu wa vitanda vya wagonjwa katika kituo hicho.  Makabidhiano hayo, ambayo yamefanyika mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Balozi Dkt Batilda Burian, ni sehemu ya juhudi…

Read More