Jela mitano kwa kuishi kinyumba na mwanafunzi

Maswa. Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kifungo cha miaka mitano gerezani, mkazi wa Kijiji cha Malampaka, Zackaria Shija (38), kwa kosa la kuishi kinyumba  na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri wa miaka 20. Hukumu hiyo imetolewa Agosti 27, 2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Aziz Khamis, ambaye amesema mtuhumiwa atahukumiwa kifungo…

Read More

Vifaa vyatolewa kusaidia watoto wachanga kupumua

Dar es Salaam. Mradi wa Breathing for Baby (BfB), unaolenga kuokoa maisha ya watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kupumua, umekabidhi vifaa vya huduma ya watoto wachanga vyenye thamani ya zaidi ya Sh164 milioni kwa hospitali za mkoa wa Dar es Salaam. Takwimu za Tanzania Demographic and Health Survey (TDHS 2022) zinaonesha kuwa vifo vya…

Read More

Riadha inalipa…Simbu ajazwa mamilioni, nyumba

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemkabidhi mwanariadha Alphonce Simbu hundi ya Sh20 milioni kwa kuitangaza vyema Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu katika michuano ya Mbio za Riadha za Dunia zilizofanyika hivi karibuni, jijini Tokyo Japan huku akiahidiwa kupewa nyumba na Rais Samia Suluhu Hassan. Fedha hizo zilizotolewa na serikali kama ‘asante’ kwa…

Read More

Mgombea  Urais CCK aahidi kukomesha njaa nchini

Arusha. Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ameahidi akipewa ridhaa ya kuongoza, atahakikisha anakomesha njaa kwa Watanzania, ikiwemo kuanzisha mashamba makubwa na kusambaza chakula kwa wananchi pamoja na kutoa ajira. Mgombea huyo ametoa ahadi hiyo leo Jumatatu, Septemba 8, 2025, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Soko Kuu Arusha. “Tunataka…

Read More

Maelfu Washiriki Kilimanjaro Marathon Moshi, Yavunja Rekodi Licha ya Mvua

Licha ya mvua kubwa kunyesha katika Mkoa wa Kilimanjaro Region, maelfu ya washiriki na watazamaji walijitokeza kushiriki na kushuhudia toleo la 24 la Kilimanjaro International Marathon lililofanyika mjini Moshi Jumapili. Katika mbio za kilomita 42 kwa wanaume, mwanariadha kutoka Kenya, William Morwabe, aliibuka mshindi kwa muda wa saa 2:18:52, akionesha ubora mkubwa licha ya changamoto…

Read More

ABDALLAH ULEGA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE KWA KISHINDO JIMBO LA MKURANGA

  Amuombea kura mgombea Urais CCM Dk.Samia …agusia Katiba Mpya Na Mwandishi wetu, MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Alhaj Abdallah Ulega amewataka watanzania kama wanataka katiba mpya basi wanapaswa kumchagua Dkt Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Amesema hata katika uzinduzi wa kampeni kitaifa zilizofanyika jijini Dar…

Read More