
MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUIPA KIPAUMBELE SEKTA YA MICHEZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam. …. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita imejipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa sekta ya michezo inaendelea kuwezeshwa na kupewa…