
KAWAIDA: AJENDA YA MITANO TENA NI DKT. SAMIA NA DKT. MWINYI TU, VIJANA TWENDE TUKAGOMBEE
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda ya Mitano Tena ni kwa Mgombea wa Urais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea wa Urais Mteule wa…