Cheche aachia ngazi Cosmopolitan | Mwanaspoti

KLABU ya Cosmopolitan imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Idd Nassor ‘Cheche’, baada ya makubaliano ya pande mbili, huku sababu ikiwa ni mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi ya Championship. Kocha huyo wa zamani wa matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, aliliambia Mwanaspoti ni kweli amefikia makubaliano hayo ya…

Read More

Kibu, Msuva waisubiri Zambia Dar es Salaam

WASHAMBULIAJI Kibu Denis wa Simba na Simon Msuva wa Al Najma wanatarajiwa kuungana timu ya taifa, Taifa Stars iliyokuwa uwanjani  kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Indonesia na kutoka suluhu, ili kuwahi pambano la kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia. Wawili hao ni miongoni mwa mastaa 34 walioitwa na…

Read More

INEC yakemea upendeleo kwenye ajira za uchaguzi

Geita. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi pamoja na maofisa uchaguzi kujiepusha na vitendo vya upendeleo, hususan katika kuwaajiri ndugu, jamaa au watu wasio na sifa katika nafasi za watendaji wa vituo vya kupigia kura. Badala yake, tume imewataka kuhakikisha wanateua watu wenye sifa…

Read More

PPAA kuanza kutumia kanuni za rufani Julai 2024

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia Julai 01, 2024. Hayo yalibainishwa na Katibu Mtendaji wa PPAA, James Sando Jijini Dodoma wakati wa kikao kazi cha kupokea maoni ya uandaaji wa Kanuni za Rufaa za Ununuzi…

Read More

Matumaini mapya ujenzi reli ya kisasa Mtwara-Mbambabay

Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo katika mchakato wa kufanikisha ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Mtwara hadi Mbambabay. Amesema ni kiu ya Serikali kufanikisha hilo ili kuendeleza ushoroba wa Mtwara utakaoiunganisha Tanzania na mataifa mengine jirani. Ingawa ujenzi huo si mchakato wa muda mfupi, amesisitiza lazima itajengwa kwa kuwa ndiyo dhamira ya…

Read More

Tanzania Prisons kimkakati zaidi | Mwanaspoti

HESABU walizonazo Tanzania Prisons ni kuhakikisha kwamba, hawataki kuwaruhusu wapinzani wao, JKT Tanzania kupata hata pointi moja watakapokutana wikiendi hii. Prisons wanaamini kwamba, kitendo cha kuwapa mwanya JKT Tanzania kupata pointi moja, kitawaharibia zaidi kutokana na hivi sasa msimamo wa ligi ulivyo. Timu hizo zinakutana Jumapili wiki hii kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar…

Read More

Askofu Wolfang Rais mpya TEC, Padri Kitima aula tena

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetambulisha safu mpya za viongozi watakaoongoza baraza hilo kwa miaka mitatu hadi 2027 huku aliyekuwa Katibu Mkuu wa baraza hilo, Padri Dk. Charles Kitima akirejeshwa tena kuendelea kutumikia nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Baraza hilo limemtambulisha Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa OFM Cap ambaye ni Askofu wa Jimbo…

Read More