
VIDEO: CCM yakomba mitaa, vitongoji na vijiji, Chadema, ACT-Wazalendo…
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika nafasi zote zilizowania katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa zaidi ya asilimia 95 huku Chadema na ACT-Wazalendo zikikifuatia. Matokeo hayo yametangazwa usiku wa jana Alhamisi Novemba 28, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mohamed Mchengerwa alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma….