Je, Trump kuwashughulikia mahasimu wake kisiasa?

Dodoma. Kurejea kwa Donald Trump madarakani kunahofiwa kuwa mwanzo wa kuwashughulikia mahasimu wake kisiasa kutokana na kauli zake za kuwashutumu, ikiwamo kutaka washtakiwe na kufungwa jela. Miongoni mwa mahasimu wake wa kisiasa ambao amekuwa akiwatolea kauli kali baada ya kushindwa uchaguzi mwaka 2020 ni Rais Joe Biden, Makamu wa Rais Kamala Harris, Rais mstaafu Barack…

Read More

Wanajeshi 200 wauawa Burkina Faso, al-Qaeda yatajwa

Ouagadogou. Kundi moja la wapiganaji linalofungamana na kundi la al-Qaeda, huko Afrika Magharibi limesema kuwa mashambulizi yake yamewaua wanajeshi 200 wa Burkina Faso katika kambi moja ya kijeshi nchini humo. Al Jazeera imeripoti leo Ijumaa Mei 16, 2025, kuwa kundi hilo maarufu kama Jama’a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin, (JNIM) limefanya mashambulizi hayo kwa nyakati tofauti…

Read More

TAIFA GAS WAZINDUA KITUO CHANGANYIKENI, WATU 300 WAPATA MITUNGI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule akishirikiana na wafanyakazi wa Taifa Gas akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mauzo kilichopo Changanyikeni jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule akizungumza na wananchi wa Changanyikeni jijini Dar es Salaam walipokusanyika kupata mitungi ya Taifa Gasi. MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Saad…

Read More

Hii hapa hatari ya mzazi kubagua watoto

Dar es Salaam. Upo usemi wa wahenga usemao; “uchungu wa mwana aujuaye mzazi.” Lakini pia hawakuishia hapo, wakaongeza mwingine usemao; “Hakuna mapenzi ya dhati zaidi ya yale yatokayo kwa mzazi.” Licha ya kauli hizo za mababu zetu kuiasa jamii, bado mambo ni tofauti. Wapo baadhi ya wazazi hawana upendo na wengine wana ubaguzi wa waziwazi…

Read More