
Lema amtaka Mbowe kumwachia Lissu uenyekiti Chadema
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemshauri mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe kusikiliza ushauri wa familia yake wa kumtaka kutogombea tena nafasi hiyo.Lema amesema Mbowe mara kadhaa amekuwa na nia ya kupumzika na kuwaachia nguvu mpya vijana kuendeleza mapambano, lakini watu wanaoitwa…