
Uzinduzi kituo cha gesi UDSM wapigwa kalenda
Dar es Salaam. Uzinduzi wa kituo cha kujaza gesi kwenye vyombo vya moto eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kilichopangwa kuzinduliwa leo, Jumatatu, Februari 3, 2025 umeahirishwa kwa mara nyingine. Meneja Msimamizi wa mradi wa CNG Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Aristides Katto akizungumza na Mwananchi leo amesema kuahirishwa huko…