Metacha aitaka tuzo ya Matampi

KIPA wa Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema msimu huu anaitaka ile tuzo ya kipa bora wa Ligi Kuu Bara iliyochukuliwa na Ley Matampi wa Coastal Union msimu uliopita. Metacha ameliambia Mwanaspoti kwamba, msimu huu anataka kuwa na clean sheet nyingi zitakazomfanya aibuke kinara miongoni mwa wa makipa wa ligi hiyo. “Msimu huu natamani kuandika…

Read More

TMA yataja chanzo mvua zinazonyesha kipindi cha kipupwe

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, mvua zinazoendelea kunyesha tangu jana katika baadhi ya mikoa nchini zimetokana na kuongezeka kwa joto la bahari magharimbi mwa Bahari ya Hindi katika mwambao wa pwani wa nchi. Mvua hizo ziliibua sintofahamu kutokana na majira ya Juni kuwa ya kipupwe, huku TMA ikitaja mikoa…

Read More

Hassan Waziri afichua kilichomplekea ulingoni

Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo imefanikiwa kuzalisha vipaji vya mchezo wa ngumi. Mkoa huo ndio anapotokea bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa, Hassan Waziri ambaye yupo chini ya menejimenti ya Mitra Sport Promotion iliyoandaa pambano la Ngumi Kitaa litakalopigwa Aprili 26, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem. Waziri ana rekodi…

Read More

WAZIRI MASAUNI AWASILI BAJETI YA MWAKA 2025/26

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwasilisha hotuba ya mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka 2024/25 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2025/26 bungeni jijini Dodoma leo tarehe 25 Aprili 2025. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano…

Read More

Mkutano wawekezaji sekta ya madini kukutanisha washiriki 1,500

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Washiriki 1,500 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kushiriki katika mkutano wa sita wa wawekezaji katika sekta ya madini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Novemba 19 hadi 21 mwaka huu. Mkutano huo utakaofunguliwa Novemba 19,2024 na Rais Samia Suluhu Hassan una kaulimbiu isemayo ‘Uongezaji thamani madini kwa maendeleo ya kuchumi na…

Read More

Tumia mbinu hizi kulinda figo zako

Dar es Salaam. Mwili wa binadamu una viungo vingi vikiwemo vya ndani na nje. Kila kiungo kinahitaji kutunzwa ili kifanye kazi yake kwa ufasaha, baadhi utunzaji wake hutokana na aina ya maisha unayoishi kuanzia asubuhi mpaka wakati wa kulala. Baadhi ya viungo ambavyo ni muhimu kwa afya zetu ni pamoja na figo. Kazi yake kubwa…

Read More

SIO ZENGWE: Azam FC itafute sababu za kuboronga Afrika

WAKATI mashabiki wa Yanga wakimaliza mapumziko ya mwishoni mwa wiki kwa furaha, wale wa Azam na hasa wadau watakuwa wanakuna kichwa kwa huzuni baada ya timu hiyo, iliyokusanya wachezaji nyota kutoka pembe kadhaa za Afrika na barani Amerika Kusini, kushindwa tena kufurukuta michuano ya Afrika. Azam, klabu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa nchini na…

Read More

Simba, Nabi kuna kitu | Mwanaspoti

KUNA kitu kilikuwa kinaendelea kati ya kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi na viongozi wa Simba ambacho kimemalizika kwa mmoja wao kununa. Kocha huyo maarufu nchini anayeinoa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini alikuja nchini na mzigo akitaka kununua mashine moja ndani ya Simba. …

Read More