
Msengi aibukia JKT Tanzania | Mwanaspoti
MAAFANDE wa JKT Tanzania wanaendelea kusajili kimyakimya baada ya kuelezwa tayari wamemalizana na kiungo Ally Msengi waliyempa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Tanzania Prisons. Taarifa za ndani kutoka JKT TZ, zinasema wamemalizana na kiungo huyo wanayeamini atakuwa msaada kutokana na uwezo alioonyesha akiwa na Prisons msimu uliopita ambako alikuwa tegemeo katika kikosi cha kwanza. “Msengi…