
Tanzania yaanzisha kitengo cha uchunguzi wa moyo cha kimataifa
Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeanzisha kitengo cha uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa wanamichezo wa Afrika Mashariki na Kati, ili kutambua afya zao kabla ya kushiriki mashindano mbalimbali. Hatua hio inaifanya Tanzania kuwa nchi ya pili barani Afrika baada ya Misri kuanzisha kitengo maalumu cha uchunguzi wa moyo kwa…