Kamati za ukaguzi zafundwa kukabili upotevu fedha za umma
Mwanza. Zaidi ya washiriki 240 kutoka sekretarieti za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa nchini wamepewa mbinu mpya za kukabiliana na changamoto katika usimamizi wa fedha za umma, udhibiti wa ndani na kupunguza hoja za ukaguzi zinazojirudia katika taasisi za umma. Akizungumza Oktoba 17, 2025 wakati wa kufunga mafunzo ya kamati za ukaguzi yaliyofanyika…