CEO NMB awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari

NA MWANDISHI WETU, MOROGORO KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro, wametakiwa kumtanguliza Mungu, kuwa na nidhamu, bidii, uadilifu na uaminifu, ili kupata mafanikio zaidi kielimu, kimaisha na kiimani. Wito huo umeetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki…

Read More

Yanga yaibuka mkutanoni, Simba yasikilizia

Wakati mechi ya Dabi ya Kariakoo ikitarajiwa kupigwa kesho, Yanga imefanya mkutano na waandishi wa habari, huku Simba iliyotakiwa kufika kwenye mkutano haikutokea. Simba itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo huo wa kiporo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 jioni. Kabla ya mchezo huo timu…

Read More

Sababu Tanzania kuwekeza kwenye uandishi bunifu

Kwa mara nyingine, Serikali kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET),  imetoa tuzo kwa washindi wa tuzo za Mwalimu Nyerere za Uandishi Bunifu. Katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Hussein Abdalla alitwaa tuzo ya taifa upande wa ushairi, huku Tyatawelu Kingu akiibuka wa  kwanza katika kipengele cha tamthiliya. Tune Salim amekuwa mshindi wa kwanza katika…

Read More

Mgogoro wa misaada ya Gaza unazidi, mapigano ya Sudani Kusini, Sasisho la Mafuta ya Ecuador – Maswala ya Ulimwenguni

“Sasa imekuwa mwezi na nusu tangu vifaa vyovyote vimeruhusiwa kupitia njia za kuvuka kwenda Gaza,” msemaji wa UN Stéphane Dujarric aliwaambia waandishi wa habari katika mkutano wa Daily Media huko New York. Ocha Alisema karibu asilimia 70 ya kamba ya Gaza kwa sasa iko chini ya maagizo ya kuhamishwa au katika maeneo ya “No Go”….

Read More

BALOZI WA DENMARK AMALIZA MUDA WAKE AMUAGA DKT. NCHEMBA

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishauri Denmark kuongeza masuala ya ushirikiano katika sekta za nishati, maendeleo ya sekta ya fedha na kukuza uwekezaji katika mpango wao mpya wa ushirikiano wa kimataifa unaoandaliwa na nchi hiyo. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo wakati akimuaga Balozi wa Denmark…

Read More

Ushindi wampa jeuri Minziro | Mwanaspoti

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ushindi na bonasi waliyoipata wachezaji ni chachu ya kuongeza ushindani kuelekea mchezo  dhidi ya Azam FC Jumapili. Pamba Jiji baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Dodoma Jiji, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said…

Read More

SPOTI DOKTA: Huu ni muda wa kupimana afya

WIKI mbili zilizopita barani Ulaya Euro 2024 ilimalizika na bingwa ilikuwa Hispania wakati Copa Amerika 2024 ilikwisha na bingwa ni timu ya taifa ya Argentina. Mara baada ya hekaheka hizo zilizokuwa na upinzani mkali kumalizika hivi sasa ni kipindi cha kuwageukia wachezaji wanaohama kutoka klabu moja kwenda nyingine. Wengi wao ni wale ambao katika mashindano…

Read More