Minziro: Ni ‘do or die’ dhidi ya Tabora United

Baada ya kuambulia sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopita kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema kesho ni kufa au kupona watakapocheza dhidi ya Tabora United. Mchezo huo wa raundi ya 25 Ligi Kuu Bara utachezwa kuanzia saa 8:00 mchana katika…

Read More

Mwandishi wa habari aamriwa kumlipa DED Sh2 bilioni

Mwanza. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemwamuru mwandishi wa habari na mtangazaji, Alloyce Nyanda ‘Mtozi’ kumlipa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Aaron Kagurumjuli Sh2 bilioni kama fidia kwa kumdhalilisha kwa njia ya mtandao. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa Aprili 11, 2025, saa tatu asubuhi na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Boniventure Lema. Wakati…

Read More

TMDA YATOA ELIMU KWA UMMA MAONESHO YA SABASABA

  Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza akielekeza Jambo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.  Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa…

Read More

Vodacom Group kufungua fursa za ajira kwa vijana milioni 1 kupitia uboreshwaji wa ujuzi wa kidijitali barani Afrika

Kundi la makampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana barani humo kupitia ujuzi wa kidijitali kama sehemu ya ahadi yake ya kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kizazi kijacho cha Afrika. Kwa kushirikiana na (Amazon Web Services) AWS, Microsoft, Skillsoft na mashirika mengine, Vodacom inalenga…

Read More

FYATU MFYATUZI: Namna ya kuukwamua mgongano-muungano wetu

Fyatu Mfyatuzi, mwanazuoni, mzalendo, na mwanamapinduzi asiye kifani, nimejitoa kuchangia madini ya kuondokana na mgongano-muungano. Sihitaji kukaribishwa wala kulipwa kusaidia kufanikisha azma ya kuwa na kaya tulivu yenye mshikamano ambavyo haviwezi kupatikana kwa kuogopana, kudanganyana, kuzidiana akili au kufyatuana ilivyo. Muungano unataka vichwa vinavyochemka, ukweli, ushupavu, uwazi, uzalendo na utayari kufanya ambacho kimombo huitwa ‘give…

Read More

Tishio la mbwakoko -1 | Mwananchi

Dar es Salaam. Ni saa moja asubuhi, Loyce John msichana wa miaka 12 anatoka nyumbani kuelekea shuleni kupitia barabara nyembamba ya vumbi. Barabara hii ipo katika Mtaa wa Kisimani, Kata ya Kibamba wilayani Ubungo, mkoani Dar es Salaam.  Kando mwa barabara kuna vibanda vichache vya biashara, nyumba na sehemu ni vichaka. Ghafla inasikika…

Read More