
WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUPIGA KURA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mwenyekiti wa wafugaji nchini, Mrida Mshoda, amewahimiza wafugaji kote nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura na kuboresha taarifa zao ili waweze kupata haki ya kushiriki katika uchaguzi. Mrida alitoa kauli hiyo wakati akizungumza wilayani Bunda, mkoani Mara, ambapo alisisitiza kuwa kundi hilo kubwa lina jukumu muhimu la kushiriki…