Uhamisho wa Kulazimishwa Huwaacha Wanawake wa Afghanistan katika Umaskini Mkubwa – Masuala ya Ulimwenguni

Pakistan na Iran zinaendelea kuwafukuza wakimbizi wa Afghanistan hadi katika nchi yao ya asili, na kuwaacha wanaorejea katika hali mbaya. Credit: Learning Together. Jumanne, Julai 09, 2024 Inter Press Service Julai 09 (IPS) – Mwandishi ni mwandishi wa habari wa kike mwenye makazi yake Afghanistan, aliyepata mafunzo kwa usaidizi wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua…

Read More

MIAKA 20 GEREZANI KWA KUHUJUMU MRADI WA ETDCO

Na Mwandishi Wetu  MAHAKAMA ya Wilaya ya Lugoba, Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani, imewahukumu watu wawili, Mayunga Senteu na Muganyi Makulu, kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuiba na kuharibu miundombinu ya umeme. Wawili hao walikutwa na hatia ya kuiba nyaya za umeme aina ya ACSR kutoka katika…

Read More

Mikoa hii ijipange kwa baridi Juni hadi Agosti

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuanzia Juni hadi Agosti, 2025 kutakuwa na baridi kali na ya wastani katika mikoa sita nchini. Pia, maeneo mbalimbali nchini yatashuhudia joto, mvua zisizotabirika na kipupwe, huku athari ikitajwa kuwa ni magonjwa yanayohusiana na hali ya hewa ya baridi kama vile homa ya mapafu…

Read More

Kampuni za kimataifa 15 kuwekeza kongani Buzwagi

Dodoma. Serikali imesema kampuni 15 za kimataifa zimeonyesha nia ya kuwekeza katika kongani maalumu la kimataifa la sekta ya madini, ambalo limeanzishwa kwenye eneo ulipokuwa Mgodi wa Buzwagi Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Mbali na hilo, Kampuni ya East African Convoyers Service imeanza uzalishaji katika eneo hilo huku Kampuni ya Kabanga Nickel ikichukua nafasi…

Read More

SIO ZENGWE: Sakata la Fei Toto, Dube lifikirishe mamlaka

KIPINDI cha mavuno kwa wachezaji na mawakala au mameneja wao ndio kinaendelea duniani kote kwa sasa baada ya msimu wa soka wa 2023/24 kumalizika, hivyo kuruhusu wachezaji waanze kuangalia wapi kuna majani ya kijani zaidi. Lakini wapo wanaouguzia machungu ya kusaini mikataba kiholela baada ya kuhakikishiwa malipo mazuri ya bonasi ya kusaini (sign-on fee), mshahara…

Read More

Kituo cha afya Lupalilo chapokea kitanda kupunguza changamoto ya upungufu wa vifaa tiba

Katika kupunguza changamoto ya vifaa tiba kwenye majengo mapya ya kituo cha afya Lupalilo kilichopo wilaya ya Makete mkoani Njombe,mganga mkuu wa halmashauri hiyo amepokea kitanda chenye thamani ya takribani Milioni 2.5 kwa ajili ya wagonjwa kituoni hapo. Akizungumza baada ya kupokea kitanda hicho mbele ya wananchi wa Lupalilo kilichotolewa na mwenyekiti wa UWT mkoa…

Read More