Talaka zinavyoathiri wanawake kumiliki ardhi Pwani-4

Katika toleo lililopita tuliangazia jinsi migogoro ya ardhi inavyoongezeka kutokana na mkanganyiko wa sheria na mianya katika usimamizi wa ardhi, huku wataalamu wakipendekeza marekebisho ya sheria na elimu ya kisheria kwa wananchi ili kupunguza migogoro hiyo. Endelea.. Kuvunjika kwa ndoa ni miongoni mwa changamoto inayotajwa kuchochea wanawake kukosa haki ya kumiliki ardhi nchini, hususani katika Mkoa…

Read More

Tanzania Prisons hadi huruma Ligi Kuu

LIGI Kuu Bara ikiwa imesimama kwa muda kupisha kalenda ya FIFA, huku Yanga ikuiwa kileleni mwa msimamo ikiwa na pointi 58 na mabao 58 ya kufungwa, ikifuatiwa na Simba, hali ni mbaya kwa Tanzania Prisons, kwani yenyewe ndio timu yenye safu butu ya ushambuliaji katika ligi hiyo. Maafande hao wanaoshikilia nafasi ya 15 katika msimamo…

Read More

Huko Kigoma kuna vita ya  maafande!

KIVUMBI cha Ligi Kuu Bara kitaendelea tena kesho Ijumaa kwa mchezo mmoja tu wa raundi ya pili kati ya Mashujaa itakayokuwa nyumbani kuwakaribisha maafande wenzao wa Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma. Mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa ligi, Mashujaa ikiwa nyumbani iliondoka na pointi tatu ikiiadhibu Dodoma Jiji bao 1-0 lililowekwa…

Read More

MAN CITY WASHUSHA KIFAA KIPYA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Manchester City imethibitisha kumsajili winga wa Kibrazil, Savinho kwa ada ya pauni milioni 21 itakayofikia milioni 33.6 pamoja na nyongeza akitokea Troyes ya Ufaransa. Savinho (20) ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Girona ya Uhispania amesaini mkataba wa miaka mitano mpaka Juni 2029 na anakuwa usajili wa kwanza wa Man City majira haya ya…

Read More

Tanesco kuboresha mita za Luku Kanda ya Mashariki

Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Kanda ya Mashariki, limewataka watumiaji wa mfumo wa Lipa Umeme Kadiri Unavyotumia (Luku) kufanya maboresho yanayoendelea kwenye mfumo huo, ili kuendelea kupata huduma hiyo. Maboresho hayo ambayo yataanza Julai 22 hadi Novemba 24, yanalenga kuendana na viwango vya mifumo ya Luku ya kimataifa na kuongeza ufanisi na…

Read More

Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50

WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba ubingwa. Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Awadh Maulid Mwita alisema jana kuwa bingwa wa mashindano…

Read More

Mwendendo wa Uandikishaji Jiji la Dodoma

Na. Faraja Mbise, DODOMA Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko amekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu mwenendo wa uandikishaji kuwa wanaandikishwa mamluki kwenye orodha ya wapiga kura. Kanusho hilo alilitoa ofisini kwake alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kufuatia tuhuma zilizotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema…

Read More