RAIS MWINYI AREJEA ZANZIBAR – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk.Hussein Ali Mwinyi amerejea Zanzibar, baada ya kumaliza ziara yake nchini Indonesia na kushiriki katika Sherehe za Miaka 50 ya siku ya Ushindi nchini Msumbiji. Dk.Mwinyi amepokelewa na Makamu wa Pili wa Rais Mhe Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine wa Serikali, Chama Cha…

Read More

Adaiwa kumuua mwanaye bila kukusudia

Geita.  Mkazi wa Kijiji cha Chigunga wilayani Geita, Stefano Mlenda(31)  amefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Geita  akishtakiwa kwa kosa la kumuua bila kukusudia  mtoto Fredrick Stephano (7) baada ya kuiba Sh700 na kwenda kununua soda. Kesi hiyo namba 12387 ya mwaka 2024 ilikuja mahakamani hapo kwa ajili ya mshtakiwa kusomewa maelezo ya awali. Akisoma…

Read More

Mjumbe aeleza jinsi Sinodi ilivyoridhia, Askofu Sepeku apewe zawadi

Dar es Salaam. Aliyekuwa mjumbe wa kikao cha Sinodi cha Kanisa la Anglikana Tanzania, kilichoketi Machi 1980, Ernest Mwenewanda(79), amedai kuwa aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa kanisa la Anglikana Tanzania, marehemu John Sepeku, alikuwa na upendo kwa waumini wa wake,  hali iliyosababisha hata kanisa lilipopendekeza apewe zawadi, hakuna mjumbe yeyote aliyepinga uamuzi huo. Mwenewanda…

Read More

WAKURUGENZI, MAAFISA ELIMU NA MAAFISA UTUMISHI SHIRIKIANENI KUTATUA KERO ZA WALIMU NCHINI

Naibu katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu) Dkt Charles Msonde amewaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kushirikiana na maafisa Elilmu na maafisa Utumishi wa Halmashauri kutatua kero mbali mbali zinazowakabili walimu kote nchini. Dkt. Msonde ametoa maelekezo hayo katika kikao cha Pamoja kati ya walimu wa shule za msingi na sekondari, Wakuu wa Shule…

Read More

Mabishano ya tozo yakwamisha Tanga kufikia malengo

Dodoma. Mabishano ya tozo katika bidhaa zinazozalishwa na madini, yamesababisha Mkoa wa Tanga kushindwa kufikia lengo walilopangiwa katika makusanyo kwa mwaka 2024/25. Aidha, wastani wa pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka limeongezeka kutoka Sh2.7 milioni mwaka 2020 hadi Sh3.4 milioni kwa mwaka 2024. Akizungumzia mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita, kwa mkoa wa…

Read More