
Beki azichonganisha Azam, Ihefu | Mwanaspoti
AZAM FC imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya beki kiraka, Natahaniel Chilambo lakini wakati hilo likitokea, Ihefu imeibuka ghafla na kuonyesha nia ya kumhitaji mlinzi huyo wa zamani wa Ruvu Shooting. Uongozi wa Ihefu unafahamu fika kuwa mkataba wa Chilambo na Azam FC utafikia tamati mwishoni mwa msimu huu hivyo kikanuni inaruhusiwa kufanya mazungumzo naye…