Kamati Kuu Chaumma yateua wakurugenzi wa chama, wamo G55

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanya uteuzi wa wakurugenzi katika idara mbalimbali za chama hicho, ikiwajumuisha viongozi waliotoka Chadema na wale waliojiuzulu nafasi zao kuwapisha wanachama wapya. Leo Jumamosi, Mei 24, 2025, kikao cha Kamati Kuu kilichohusisha wajumbe 15, kimefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini…

Read More

MSIUZE MAENEO YA WAZI – PINDA

  Na Mwandishi Wetu, Moshi   Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kuacha mara moja tabia ya kuuza maeneo ya wazi ili kuhifadhi ardhi kwa matumizi ya dharura na maeneo mbadala yanapohitajika.   Mhe. Pinda amesema hayo katika kikao cha wananchi na watumishi wa Ardhi Mkoa wa Kilimanjaro…

Read More

Dereva bodaboda, bondia kortini tuhuma mauaji ya mtoto wa mfanyabiashara Dodoma

Dodoma. Dereva wa bodaboda, Kelvin Joshua (27) na Tumaini Msangi (28) ambaye ni bondia, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya mtoto Greyson Kanyenye (6). Washtakiwa hao wakazi wa Ipagala, Jijini Dodoma, wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu, Desemba 30, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi, Denis Mpelembwa. Akiwasomea…

Read More

Kesi ya afande anayedaiwa kuwatuma vijana kuunguruma leo

Dodoma. Kesi ya kubaka kwa kundi inayomkabili, Fatma Kigondo, afande anayedaiwa kuwatuma vijana kumbaka kwa kundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti Mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, inakuja mahakamani leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 tena. Kesi hiyo, iliyofunguliwa na Paul Kisabo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, ilishindwa kusikilizwa Agosti 23, 2024…

Read More

Watanzania waanza na vipigo | Mwanaspoti

WATANZANIA wawili wanaokipiga Ligi ya Walemavu nchini Uturuki wameanza vibaya ligi hiyo baada ya wote wawili kupoteza mbele ya vigogo wakimaliza dakika 90. Nyota hao ni Ramadhan Chomelo anayekipiga Konya Amputee na Hebron Shedrack wa Sisli Yeditepe ambao wako nchini humo kwa msimu wa tatu mfululizo sasa. Msimu mpya wa ligi hiyo ulianza Novemba 24,…

Read More

Wanawake Vijana nchini Afghanistan wanaoendeshwa kujiua huku kukiwa na kufadhaika sana – maswala ya ulimwengu

Wanawake vijana nchini Afghanistan wanakabiliwa na kukata tamaa wakati elimu ya Taliban inapiga marufuku ndoto zao, na kuwaacha na tumaini kidogo kwa siku zijazo. Mikopo: Kujifunza pamoja. Kabul Jumanne, Machi 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mwandishi ni mwandishi wa kike wa msingi wa Afghanistan, aliyefundishwa kwa msaada wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua….

Read More

Yanga yatawala tuzo Ligi Kuu, yatoa onyo

Dar es Salaam. Yanga imetawala tuzo zilizotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana, huku ikiahidi kuchukua zote msimu ujao. Tuzo hizo kwa ajili ya wachezaji na makocha waliofanya vizuri msimu uliopita zilitolewa kwenye Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, huku Aziz Ki akizoa tatu. Aziz Ki alionekana kutakata kwenye tuzo hiyo…

Read More

SIO ZENGWE: Azam FC itafute sababu za kuboronga Afrika

WAKATI mashabiki wa Yanga wakimaliza mapumziko ya mwishoni mwa wiki kwa furaha, wale wa Azam na hasa wadau watakuwa wanakuna kichwa kwa huzuni baada ya timu hiyo, iliyokusanya wachezaji nyota kutoka pembe kadhaa za Afrika na barani Amerika Kusini, kushindwa tena kufurukuta michuano ya Afrika. Azam, klabu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa nchini na…

Read More