
TPF Net GALA YAPAMBA MOTO-SONGWE.
Na Issa Mwadangala Askari Polisi wa kike Mkoani Songwe wajidhatiti kuendelea kiuchumi na kuwa na afya bora ya akili na mwili kwa kufanya semina, sherehe na midahalo mbalimbali ili kuendelea kujiimarisha kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa Aprili 22, 2025 na Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Songwe (TPF- Net) Mkoa wa Songwe Kamishina Msaidizi…