
Geita Gold yampa mzuka Josiah
PAZIA la Ligi ya Championship msimu wa 2024/2025 linafunguliwa kesho huku wageni wa michuano hiyo, Geita Gold wakianzia nyumbani Nyankumbu dhidi ya TMA ya Arusha saa 8:00 mchana, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Amani Josiah akitamba kuanza vizuri. Geita Gold inashiriki michuano hiyo baada ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu Bara msimu uliopita, ina…