Ishu ya Aziz KI, Yanga.. yamuibua Gamondi
MASHABIKI wa Yanga wamepata presha ya ghafla wakati wenzao wa Simba wanacheka, huku wakiomba dua mbaya kiungo Stephanie Aziz KI aondoke Jangwani, lakini kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameibuka akisema “nimkute Avic haraka”. Hilo limekuja baada ya Rais wa Yanga, injinia Hersi Said akiwa nchini Afrika Kusini kuviambia vyombo vya habari hatma ya Aziz…