
Anayeandikia miguu awezeshwa kuendelea kidato cha tano
Morogoro. Hamis Nguku, mwanafunzi mwenye ulemavu wa viungo ambaye amekuwa anatumia miguu kuandika, kula, na kufanya shughuli zake nyingine, ameishukuru kampuni ya Mwananchi Communication Limited (MCL) kwa kurusha habari zake, ambazo zilipelekea kupata mfadhili aliyemnunulia mahitaji muhimu ya shule. Nguku, ambaye ni mkazi wa Mlimba katika Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, alipata ufadhili kutoka kwa…