
KAMPENI YA PIKA SMART INAYOHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAZINDULIWA
……………………. Kamishna Luoga asisitiza matumizi ya umeme katika Nishati Safi ya Kupikia Kamishina wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amezindua kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme inayokwenda na kaulimbiu ya PIKA SMART. Mha. Luoga amezindua kampeni hiyo leo Juni 13, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha…