
DC Dkt. Timbuka aita wadau kujisajiri West Kili Tour Challenge, mashindano kulindima Juni 22-23, 2024.
Mkuu wa Wilaya Siha, Kilimanjaro Mhe. Dkt. Christopher Timbuka, leo tarehe 23 Juni, 2024 amezindua rasmi msimu wa nne wa tamasha la West Kili Tour Challenge na kutoa wito kwa wadau mbalimbali kujiandikisha ili waweze kushiriki tamasha hilo litakalofanyika tarehe 22-23 Juni, 2024. Tamasha la West Kili Tour Challenge 2024 litakalofanyika ndani ya…