
Beki Mtanzania anukia Kenya | Mwanaspoti
Nyota huyo ambaye ni zao la timu ya vijana ya Dodoma Jiji chini ya miaka 20, ameondoka ndani ya kikosi hicho baada ya mkataba wake kuisha, huku ikidaiwa aliomba kutoongeza mwingine kwa lengo la kutafuta changamoto sehemu nyingine mpya. Nyota huyo ambaye ni zao la timu ya vijana ya Dodoma Jiji chini ya miaka 20,…