TANZANIA YAJINADI UIMARISHAJI USAWA WA KIJINSIA NA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WANAWAKE MKUTANO WA CSW 70.

Na WMJJWM New York Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza mshikamano wake na nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa katika kuendeleza ajenda ya usawa wa kijinsia duniani. Akizungumza katika mkutano wa 70 wa kimataifa kuhusu masuala ya wanawake na haki, mwakilishi wa Tanzania katika Mkutano huo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

Read More

Taifa Stars mzigoni tena | Mwanaspoti

BAADA ya kumaliza kazi kwenye Fainali za CHAN 2024 zilizoandaliwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Kenya na Uganda, kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars usiku wa leo kitakuwa kibaruani ugenini katika mechi ya kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia za 2026. Tanzania itavaana na Congo Brazzaville kwenye Uwanja wa Alphonce Massamba-Debat ikiwa…

Read More

Mashambulizi dhidi ya masinagogi, kuendelea kukiuka haki za Syria, unyanyasaji wa kushangaza wa wanawake wakati wa kujifungua – Masuala ya Ulimwenguni

Huko Ubelgiji, mlipuko mkubwa Jumatatu nje ya sinagogi la kihistoria huko Liege ulisababisha uharibifu mkubwa. Masinagogi matatu kote Kanada yalishambuliwa kwa risasi tofauti wiki iliyopita. Huko Merika, mshambuliaji alipigwa risasi na kufa baada ya kugonga lori lao kwenye sinagogi na shule yake ya mapema huko Michigan mnamo Alhamisi. Inasemekana kuwa amepoteza wanafamilia wake katika shambulizi…

Read More

Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Afariki Dunia – Global Publishers

Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu (Vatican) katika nchi mbalimbali duniani, Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu (Vatican) katika nchi mbalimbali duniani, Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma, Italia. Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 8, 1957 mkoani Kagera. Aliwekwa…

Read More

Hukumu rufaa kesi ya Nyundo na wenzake kusomwa leo

‎Dodoma. Hukumu ya kesi ya rufaa waliyoikata Nyundo na wenzake watatu ya kupinga kifungo cha maisha gerezani inatarajiwa kutolewa kesho Septemba 25, 2025 kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. ‎Nyundo na wenzake watatu walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma kuwakuta na hatia kwenye mashtaka yaliyokuwa yanawakabili ya kubaka kwa…

Read More

DKT NCHIMBI AWAHUTUBIA WANA LONGIDO,ARUSHA.

MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John  Nchimbi, amewahutubia Wananchi wa Longido kwenye mkutano mdogo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Polisi, leo Ijumaa Septemba 12,2025. Mara baada ya kuwasili eneo la Mkutano,Balozi Nchimbi alikaribishwa kwa kuvalishwa vazi la heshima la…

Read More

84 Churches in Ethiopia Change Their Church Signboards to Shincheonji Church of Jesus, the Temple of the Tabernacle of the Testimony

On the 10th, representative pastors from 84 churches in Ethiopia posed for a commemorative photo at the “Shincheonji Church of Jesus, the Temple of the Tabernacle of the Testimony, Peter Tribe, Ethiopia Signboard Changing Ceremony.”  On the 10th, during the “Shincheonji Church of Jesus, the Temple of the Tabernacle of the Testimony, Peter Tribe, Ethiopia…

Read More