
Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa wenyeviti wa bodi na kumuongezea muda Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tafiri). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, Dk Ismael Aaron Kimirei ameteuliwa kushika wadhifa katika kipindi cha pili. Naye Balozi Ernest…