
Msikie Fadlu kuhusu Manula, Camara
BAADA ya makipa wa Simba, Aishi Manula na Moussa Camara kuuwasha moto katika mechi za kufuzu Afcon 2025, kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids amebainisha kuwa kuna kazi kubwa katika kuwania namba ndani ya timu hiyo. Juzi Jumanne, Fadlu alikuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa Kundi H la kuwania…