Tanzania yakumbushwa kujipanga Olimpiki 2028

MAKATIBU wakuu wa vyama vya michezo vinavyoshiriki Olimpiki wametakiwa kuanza kuweka mikakati ya maandalizi ili timu zao ziweze kushiriki kwenye Olimpiki ya 2028. Michezo hiyo ijulikanayo kama LA 2028 itaanza Julai 14-30 mjini Los Angeles,  Marekani. Akizungumza wakati wa kufungua semina ya makatibu wakuu wa vyama vya Michezo iliyo kwenye programu ya Olimpiki, rais wa…

Read More

Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet

  Kampuni ya ubashiri Tanzania Meridianbet katika suala zima la kuendeleza sekta ya michezo na imeungana na Timu ya Jogoo Veteran iliyopo Mbezi Juu na kutoa jezi mpya kwa wachezaji wa timu hiyo, ili kuunga mkono juhudi za kukuza michezo katika jamii. Timu ya Jogoo Veteran, ambayo inajivunia wachezaji wao wenye uwezo na kujituma kwelikweli,…

Read More