CCM Geita yazindua kampeni zake, mshikamano ukisisitizwa

Geita. Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita,  Jumanne Septemba 2, 2025 kimezindua kampeni za kuinadi Ilani ya CCM 2025-2030 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kampeni hizo zinazinduliwa wakati majimbo saba kati ya tisa na kata 92 kati ya 122 mkoani humo, wagombea wao wanasubiri kupigiwa kura za Ndiyo na Hapana. Akizungumza katika uzinduzi huo…

Read More

Usafiri kikwazo ufuatiliaji elimu, mwarobaini watolewa

Unguja. Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa maofisa elimu wa mikoa na wilaya unashusha ufanisi, kutokana na kushindwa kufuatilia utendaji wa shule, hasa zile zilizopo maeneo ya vijijini. Kutokana na hali hiyo, Serikali imenunua pikipiki 15 kwa ajili ya maofisa wa wilaya na mikoa yote ya Zanzibar,…

Read More

Vifaa vyatolewa kusaidia watoto wachanga kupumua

Dar es Salaam. Mradi wa Breathing for Baby (BfB), unaolenga kuokoa maisha ya watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kupumua, umekabidhi vifaa vya huduma ya watoto wachanga vyenye thamani ya zaidi ya Sh164 milioni kwa hospitali za mkoa wa Dar es Salaam. Takwimu za Tanzania Demographic and Health Survey (TDHS 2022) zinaonesha kuwa vifo vya…

Read More

OMO aahidi kurasimisha mazao ya bahari Zanzibar

Unguja. Mgombea wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT – Wazalendo, Othman Masoud Othman, maarufu OMO, ameahidi kuyageuza mazao ya bahari kuwa sekta rasmi yenye mchango mkubwa ili kukuza uchumi wa visiwa hivyo. Othman ameeleza hayo leo Jumapili, Septemba 28, 2025 wakati akizungumza na wavuvi na waanikaji wa dagaa eneo la Mangapwani, Wilaya ya Kaskazini B,…

Read More

Kupokanzwa Duniani kwa Kasi Kuliko Ilivyotarajiwa, Wanasayansi Wanalia Kengele katika Ripoti ya hivi punde zaidi ya Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

Ardhi iliyopasuka, kutokana na ukosefu wa maji na kuoka kutokana na joto la jua, hufanyiza muundo katika Hifadhi ya Mazingira ya Popenguine, Senegal. Credit: UN Photo/Evan Schneider na Umar Manzoor Shah (geneva, Uswisi & Srinagar, india) Jumatatu, Machi 23, 2026 Inter Press Service GENEVA, Uswisi & SRINAGAR, India, Machi 23 (IPS) – Mfumo wa hali…

Read More

SERIKALI KUIFANYA KAMPASI YA MLOGANZILA MJI WA KITAALUMA NA TIBA, YATENGA DOLA MILIONI 83 KUJENGA KITUO CHA UMAHIRI CHA MOYO

****** Serikali imedhamiria kuwa Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) itakuwa mji wa kitaaluma na tiba, ikijumuisha vituo vya umahiri vitakavyotoa huduma za matibabu, elimu na utafiti ili kuimarisha sekta ya afya na elimu ya juu nchini. Hatua hiyo, inatokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea katika Kampasi hiyo, pamoja…

Read More

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA RAIS WA RED CROSS TANZANIA DAVID KIHENZILE ATEMBELEA OFISI ZA RED CROSS AFRIKA KUSINI

JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, ambaye pia ni Rais wa Red Cross Tanzania David Kihenzile, ametembelea ofisi za Red Cross jijini Johannesburg, ambako alikutana na viongozi wakuu wa Southern African Red Cross Society akiwemo rais na katibu mkuu, na kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini, hususan katika kuendeleza shughuli…

Read More