
TRA mkoa wa Iringa yazidi kudumisha mahusiano na wafanyabiashara
Leo tarehe 14 Disemba Mamlaka ya Mapato Tanzania Tra Mkoa wa Iringa Imeendelea kudumisha mahusiano Mazuri na wafanyabiashara wake Mkoani hapa na hii ni mara baada ya Meneja wa Tra Mkoa wa Iringa Bw. Peter Jackson wakiwa wameambatana na Meneja Msaidizi wa ukaguzi na Ufuatiliaji wa Madeni Bw. Gwamaka Pholld kuzungumza na viongozi wa Chemba…