
AKILI ZA KIJIWENI: Simba Queens imevuna ilichokipanda
MATUMAINI yalikuwa makubwa sana kwa Simba Queens kwamba ingetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) kwa wanawake yaliyofikia tamati jana huko Ethiopia. Mashindano hayo yako chini ya usimamizi wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) na bingwa wake hupata moja kwa moja tiketi ya…