Uchimbaji madini haramu ni tishio kwa mustakabali wa Afrika – DW – 03.10.2024
Mamilioni ya watu nchini Ghana wanakabiliwa na matokeo ya hatari ya uchimbaji haramu wa dhahabu ambao umesababisha uharibifu mkubwa wa mazingira hasa katika jamii za vijijini. Licha miito ya kitaifa, uchimbaji madini haramu unaendelea nchini Ghana na kudhoofisha uwezo wa kilimo na kuhatarisha afya ya umma. Mito imechafuliwa na kemikali zenye sumu huku wenyeji na…