
HISIA ZANGU: Ishu ya Aziz Ki, Yanga ina rangi nyingi kama batiki
NIKAMSIKIA mahala rafiki yetu Aziz Ki akisema hajawahi kuona akipendwa mahali popote kama anavyopendwa Tanzania. Nikamsikia akisema ana ofa nzuri kutoka kwingineko, lakini anawapa Yanga kipaumbele. Nikamsikia Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said akisema hakuna mchezaji muhimu ambaye ataondoka Yanga. Lakini kabla ya hapo nikasikia mahala ndugu yetu Ally Kamwe akidai kwamba Yanga wapo katika…