
Soloka: Simba ni kama Real Madrid
MDAU wa Simba, Mohammed Soloka amesema mwitikio mkubwa wa mashabiki wa timu hiyo kujaza Uwanja wa Mkapa ni kielelezo cha kiu yao kutaka kuiona timu yao mpya. Soloka amesema mashabiki wenzake wengi wamefurahishwa na namna uongozi wa klabu hiyo ulivyojenga kikosi kipya chenye wachezaji wengi vijana. Kigogo huyo amesema wachezaji waliosajiliwa ni wenye vipaji vikubwa…